118. Ni Ujumbe wa Bwana (I've a message from the Lord, Halleluyah)
118. Ni Ujumbe wa
Bwana (I've a message from the Lord, Halleluyah)
1.
Ni ujumbe wa Bwana,
Aleluya!
Wa maisha ya daima,
Amenena mwenyewe,
Aleluya!
Utaishi ukitazama.
Tazama, ishi sasa!
Kumtazama Yesu,
Amenena mwenyewe,
Aleluya!
Utaishi ukitazama.
2.
Ni ujumbe wa wema,
Aleluya!
Nawe shika, rafiki
yangu!
Ni habari ya raha
Aleluya!
Mwenye kuinena ni Mungu.
3.
Uzima wa daima,Aleluya !
Kwake Yesu utauona.
Ukimtazama tu, Aleluya!
Wokovu u pweke kwa
Bwana.
Comments
Post a Comment