123. Nimeketi Mimi Nili Kipofu (Sitting by the wayside)
123. Nimeketi Mimi
Nili Kipofu (Sitting by the wayside)
1.
Nimeketi mimi nili
kipofu
Gizani nangojea macho;
Ewe Bwana Yesu mwenye
wokovu,
Ondoa dhambi zangu
nzito.
Huruma hakuna aonaye,
Gizani nagojea macho,
Sasa nitakase
nikusihiye,
Yesu, na dhambi zangu
nzito.
2.
Tangu siku nyingi
nimepofuka
Natamani uso nikwone;
Ewe Bwana Yesu, mwenye
baraka
Sema neno, basi, nipone.
3.
Nimeketi mimi nili na
giza,
Nami ya kutumai sina;
Ila nasikia
kunong’oneza,
“Kwake Yesu kuna
kupona.”
Comments
Post a Comment